Ultimate Solution Hub

Dk Biteko Atoa Maelekezo Tanesco Habarileo

biteko atoa Maagizo Makali Kwa Ewura habarileo
biteko atoa Maagizo Makali Kwa Ewura habarileo

Biteko Atoa Maagizo Makali Kwa Ewura Habarileo Kilombero, morogoro: naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, dk doto biteko amelitaka shirika la umeme nchini (tanesco) kuhakikisha linatafuta suluhisho la kufeli kwa mfumo wa gridi ya taifa mara kwa mara, kwa kufanya upembuzi wa kina ili kuboresha miundombinu kwenye gridi hiyo. dk biteko amesema hayo leo alipofanya ziara ya dharura katika mitambo ya. Dk biteko ametoa agizo hilo wakati wa kikao kazi baina yake na uongozi wa shirika la umeme tanzania (tanesco) na kampuni zake tanzu, wakurugenzi wa tanesco wa kanda na mameneja wa mikoa ambacho kimefanyika machi 28, 2024 jijini mwanza kikiwa na lengo la kujadili utendaji kazi katika sekta ya umeme.

dk biteko atoa maelekezo Tume Ya Mipango habarileo
dk biteko atoa maelekezo Tume Ya Mipango habarileo

Dk Biteko Atoa Maelekezo Tume Ya Mipango Habarileo Arusha; naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, dk. doto biteko ameagiza tume ya mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wananchi na wadau wengine katika kutoa maoni kwenye mchakato unaoendelea wa uandaaji dira ya maendeleo ya taifa ya mwaka 2050. amesema hayo wakati akimwakilisha waziri mkuu ,kassim majaliwa majaliwa, katika hafla ya ufunguzi. Dk biteko ameonyesha kutoridhishwa na utendaji wa kampuni hiyo tanzu ya shirika la umeme tanzania (tanesco) na kumuelekeza katibu mkuu wa wizara hiyo, mhandisi felchesmi mramba kuzieleza taasisi zote zilizo chini yake kuacha mazoea. naibu waziri mkuu amesema hayo leo machi 27, 2024 , alipotembelea mradi wa kituo cha kupoza umeme cha uhuru. Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, dk doto biteko (kushoto) akipata maelekezo ya tathimini ya namna ya utoaji huduma katika kituo cha miito ya simu na tanesco nchi nzima kwa ofisa udhibiti ubora wa tanesco, nicodemasi mpande (kulia) alipofanya ziara jijini dar es salaam leo aprili 4, 2024. picha na sunday george. by tuzo mapunda. Dk biteko ambaye pia ni waziri wa nishati ametoa maelekezo hayo leo februari 23, 2024 alipotembelea bwawa la kidatu mkoani morogoro na kubaini meneja wa tanesco katika mkoa huo yupo likizo. mbali na hilo, ameagiza kupatiwa maelezo ya aliyetoa kibali cha likizo kwa meneja huyo na sababu za yeye kwenda likizo wakati kukiwa na changamoto ya mgawo.

dk biteko atoa Maagizo Kumaliza Kuadimika Kwa Dola habarileo
dk biteko atoa Maagizo Kumaliza Kuadimika Kwa Dola habarileo

Dk Biteko Atoa Maagizo Kumaliza Kuadimika Kwa Dola Habarileo Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, dk doto biteko (kushoto) akipata maelekezo ya tathimini ya namna ya utoaji huduma katika kituo cha miito ya simu na tanesco nchi nzima kwa ofisa udhibiti ubora wa tanesco, nicodemasi mpande (kulia) alipofanya ziara jijini dar es salaam leo aprili 4, 2024. picha na sunday george. by tuzo mapunda. Dk biteko ambaye pia ni waziri wa nishati ametoa maelekezo hayo leo februari 23, 2024 alipotembelea bwawa la kidatu mkoani morogoro na kubaini meneja wa tanesco katika mkoa huo yupo likizo. mbali na hilo, ameagiza kupatiwa maelezo ya aliyetoa kibali cha likizo kwa meneja huyo na sababu za yeye kwenda likizo wakati kukiwa na changamoto ya mgawo. Dodoma: naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, dk. doto biteko amewataka watendaji na watumishi wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (ewura) kuzingatia maslahi ya watanzania na maslahi ya nchi katika kazi zao za udhibiti wa huduma za nishati na maji ili watanzania wapate huduma bora na kwa unafuu mkubwa. dk. Dkt.biteko ambaye pia ni waziri wa nishati ametoa maelekezo hayo leo septemba 6,2023 jijini dodoma wakati akifungua mkutano wa maofisa ustawi wa jamii tanzania kwa niaba ya makamu wa rais, dk.philip mpango. dkt.biteko ameitaka wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum, ofisi ya rais tamisemi na wadau wengine ikiwemo ya.

dk biteko atoa maelekezo Tume Ya Mipango habarileo
dk biteko atoa maelekezo Tume Ya Mipango habarileo

Dk Biteko Atoa Maelekezo Tume Ya Mipango Habarileo Dodoma: naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, dk. doto biteko amewataka watendaji na watumishi wa mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji (ewura) kuzingatia maslahi ya watanzania na maslahi ya nchi katika kazi zao za udhibiti wa huduma za nishati na maji ili watanzania wapate huduma bora na kwa unafuu mkubwa. dk. Dkt.biteko ambaye pia ni waziri wa nishati ametoa maelekezo hayo leo septemba 6,2023 jijini dodoma wakati akifungua mkutano wa maofisa ustawi wa jamii tanzania kwa niaba ya makamu wa rais, dk.philip mpango. dkt.biteko ameitaka wizara ya maendeleo ya jamii, jinsia, wanawake na makundi maalum, ofisi ya rais tamisemi na wadau wengine ikiwemo ya.

Comments are closed.