Ultimate Solution Hub

Fahamu Kinachoendelea Kwenye Kiwanja Cha Ndege Dodoma Na Ujenzi Wa Uwanja Wa Ndege Wa Msalato

fahamu kinachoendelea kwenye kiwanja cha ndege dodoma n
fahamu kinachoendelea kwenye kiwanja cha ndege dodoma n

Fahamu Kinachoendelea Kwenye Kiwanja Cha Ndege Dodoma N Uwanja wa ndege msalato kuibadili dodoma. jumanne, novemba 01, 2022. rais samia suluhu hassan akivuta kitambaa pamoja na meneja mkaazi wa benki ya maendeleo ya afrika (afdb) kwa upande wa tanzania, dk patricia leverley kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha kimataifa cha msalato, mkoani dodoma oktoba 30, 2022. Amesema kiwanja hicho ni muhimu kwa ajili ya uchumi wa nchi, na maendeleo ya dodoma kwakuwa ni makao makuu. “lazima tuwe na kiwanja cha ndege cha kisasa, kiwanja hiki kitakuwa na urefu wa kilomita 3.6 na upana wa sentimita 60, maana yake kwenye category ya viwanja vya ndege hii ni 4e hivyo ndege kubwa zinaweza kutua bila matatizo.

ujenzi wa kiwanja cha ndege Iringa Mbioni Kukamilika Youtube
ujenzi wa kiwanja cha ndege Iringa Mbioni Kukamilika Youtube

Ujenzi Wa Kiwanja Cha Ndege Iringa Mbioni Kukamilika Youtube Ujenzi wa kiwanja cha ndege cha msalato sehemu ya kwanza kukamilika disemba, 2024. dodoma. 21 machi, 2024. waziri wa ujenzi, innocent bashungwa ameeleza kuwa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha kimataifa cha msalato dodoma umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza inayohusisha ujenzi wa barabara ya kuruka na kutua ndege, maegesho ya ndege, barabara za maungio na barabara za kuingia na kutoka. Ujenzi wa uwanja wa ndege msalato wafikia 54%. 24 april 2024, 6:16 pm. ujenzi wa kiwanja cha ndege cha kimataifa cha msalato umefikia asilimia 54.1.picha na george john. hivi karibuni waziri wa ujenzi, innocent bashungwa alieleza kuwa ujenzi wa kiwanja cha ndege cha kimataifa cha msalato umefikia asilimia 54.1 kwa sehemu ya kwanza. na mindi joseph. Kamati ya mawasiliano, ardhi na nishati ya baraza la wawakilishi zanzibar imeridhishwa na ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa msalato jijini dodoma ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 72 kwenye barabara ya kuruka na kutua ndege huku jengo la abiria likifikia asilimia 39. hayo yamesemwa leo. Mkurugenzi mkazi wa benki ya maendeleo ya afrika, dk patricia laverley,amesema kuwa ujenzi wa kiwanja hicho umefadhiliwa na benki yake kwa gharama ya dola za marekani milioni 271 ambao utachukua miaka mitatu. “tunachotaka ni kuwa sehemu ya mabadiliko makubwa ya dodoma inavyotakiwa kuwa kwa kuimarisha usafiri anga kwa kuruhusu ndege za.

Comments are closed.