Ultimate Solution Hub

Hati Saba Za Ushirikiano Baina Ya Tanzania Na Indonesia Zasainiwa

hati Saba Za Ushirikiano Baina Ya Tanzania Na Indonesia Zasainiwa
hati Saba Za Ushirikiano Baina Ya Tanzania Na Indonesia Zasainiwa

Hati Saba Za Ushirikiano Baina Ya Tanzania Na Indonesia Zasainiwa Hati ya tatu ni makubaliano kati ya serikali ya tanzania na serikali ya indonesia kuhusu ushirikiano katika sekta ya madini. hati hii ina lengo la kuwezesha tafiti za madini na uchakataji wa uongezaji thamani ya madini ya vito. hati ya nne ni makubaliano kati ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki tanzania na wizara ya. Rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania mhe. samia suluhu hassan amepokelewa rasmi katika ikulu ya bogor jijini jakarta na mwenyeji wake mhe. joko widodo baada ya kuwasili nchini indonesia kwa ziara ya siku tatu ya kitaifa iliyoanza tarehe 24 hadi 26 januari, 2024. akipokelewa katika ikulu ya bogor na mwenyeji wake rais wa jamhuri ya indonesia mhe.

tanzania Namibia Zasaini hati za ushirikiano Habarileo
tanzania Namibia Zasaini hati za ushirikiano Habarileo

Tanzania Namibia Zasaini Hati Za Ushirikiano Habarileo Hati hizo ni makubaliano kati ya mamlaka ya maendeleo ya biashara tanzania (tantrade) na pt perusahaan perdagangan indonesia yenye lengo la kuimarisha ushirikiano baina ya mamlaka zinazosimamia biashara tanzania na indonesia hivyo, kutengeneza umahili katika masoko na usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kati ya tanzania na indonesia. Rais wa tanzania samia suluhu hassan amesema kuwa serikali ya tanzania na indonesia zimekubaliana kukuza biashara na uwekezaji kwa kuzileta pamoja sekta za umma na binafsi. rais samia amesema katika jambo hilo wamedhamilia kuimarisha zaidi ushirikiano wao katika viwanda, kilimo, nishati, madini, mafuta, na gesi, uvuvi, utalii na ukarimu. Nairobi – tanzania na indonesia, zimekubaliana kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya diplomasia, uchumu, afya na kilimo, na kutiliana saini mikataba kadhaa ya ushirikiano. Jopo la mawaziri kwenye msafara wa rais widodo nchini tanzania ilijumuisha waziri mratibu wa masuala ya bahari na uwekezaji luhut binsar pandjaitan; waziri wa mambo ya nje retno marsudi; katibu wa baraza la mawaziri pramono anung; waziri wa nishati na rasilimali madini arifin tasrif; na balozi wa indonesia katika jamhuri ya muungano wa tanzania tri yogo jatmiko huku ikonekana kama mbinu ya.

tanzania na Algeria Zasaini hati 8 za Makubaliano na Mikataba ya
tanzania na Algeria Zasaini hati 8 za Makubaliano na Mikataba ya

Tanzania Na Algeria Zasaini Hati 8 Za Makubaliano Na Mikataba Ya Nairobi – tanzania na indonesia, zimekubaliana kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya diplomasia, uchumu, afya na kilimo, na kutiliana saini mikataba kadhaa ya ushirikiano. Jopo la mawaziri kwenye msafara wa rais widodo nchini tanzania ilijumuisha waziri mratibu wa masuala ya bahari na uwekezaji luhut binsar pandjaitan; waziri wa mambo ya nje retno marsudi; katibu wa baraza la mawaziri pramono anung; waziri wa nishati na rasilimali madini arifin tasrif; na balozi wa indonesia katika jamhuri ya muungano wa tanzania tri yogo jatmiko huku ikonekana kama mbinu ya. Tanzania kufuata nyayo za indonesia matumizi nishati safi ya kupikia. alhamisi, januari 25, 2024. rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, samia suluhu hassan akizungumza na waandishi wa habari kuelezea masuala mbalimbali ya ziara yake nchini indonesia januari 25, 2024. pembeni ni mwenyeji wake rais wa jamhuri ya indonesia, joko widodo. October 9, 2023. 0. 936. na mwandishi wetu, mtanzania digital. tanzania na india zimetia saini hati za makubaliano 14 na mkataba mmoja, ambapo hati 10 zimehusisha taasisi za serikali na tano za sekta binafsi. katika mkutano wa pamoja na waadhishi wa habari, rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dk. samia suluhu hassan na waziri mkuu wa india.

Comments are closed.