Ultimate Solution Hub

Ifahamu Tabia Ya Pesa Kwenye Maeneo Mbalimbali Ya Maisha Yako Mwananchi

ifahamu Tabia Ya Pesa Kwenye Maeneo Mbalimbali Ya Maisha Yako Mwananchi
ifahamu Tabia Ya Pesa Kwenye Maeneo Mbalimbali Ya Maisha Yako Mwananchi

Ifahamu Tabia Ya Pesa Kwenye Maeneo Mbalimbali Ya Maisha Yako Mwananchi Ifahamu tabia ya pesa kwenye maeneo mbalimbali ya maisha yako jumapili, novemba 25, 2018 — updated on machi 15, 2021. Kuna vyakula maarufu kiingereza kwa jina la ‘fast food.’. watanzania wengi hasa vijana mijini ni waathirika wa tabia ya ulaji wa vyakula hivi hatarishi. vyakula hivi ni kama viazi vya kukaanga (chips), kuku wa kukaanga, keki, pizza na biskuti. ukweli ni kwamba uvivu wa kupika na ulimbukeni unawafanya vijana wengi kutonunua vyakula halisi.

ifahamu Tabia Ya Pesa Kwenye Maeneo Mbalimbali Ya Maisha Yako Mwananchi
ifahamu Tabia Ya Pesa Kwenye Maeneo Mbalimbali Ya Maisha Yako Mwananchi

Ifahamu Tabia Ya Pesa Kwenye Maeneo Mbalimbali Ya Maisha Yako Mwananchi Mtu yeyote anaweza kujifunza na kuwa na nidhamu (hata wewe). ni kiasi tu cha kuamua kubadilika na kuwa na mwenendo mpya wa matumizi ya fedha. ukifanikiwa kubadilika, utashuhudia mabadiliko mazuri ya kipesa, utakuwa na pesa zaidi, utajikuta unaweka pesa zaidi na kujijengea ulinzi zaidi wa kiuchumi wa kwako na familia yako. Miongoni mwa tabia zinazoweza kuutokomeza uvivu sugu ni kuwa na malengo. utaratibu wa kupanga malengo unasaidia kupata dira kwa kila myu akifanyacho. panga malengo katika nyanja zote za maisha kuanzia mipango ya afya, kijamii na kiuchumi. weka muda pendekezwa utakaokuwa na ukomo wa kufikia malengo husika. Kuna tabia nyingi, lakini siyo tabia zote ni nzuri. bainisha tabia ambazo hazikujengi kwenye maisha yako na uziache mara moja. tabia kama vile starehe na anasa, uvivu, matumizi mabaya ya pesa n.k. kamwe hazitakufanya kuwa bora zaidi. 12. jitahidi kutumia muda vizuri. kanuni moja muhimu ya kufanikiwa na kuwa bora zaidi ni matumizi mazuri ya muda. Pia ukiwachunguza watu walioshindwa au ambao hawajafanikiwa, utabaini pia kuna tabia au mambo kadhaa yanayofanana kati yao. 1. masikini hawajali muda. mafanikio yamefugwa kwenye muda. ili mtu aweze kufanikiwa ni lazima ajifunze kutumia muda wake vyema. watu wasiofanikiwa hawana mipaka; huchelewa kila mahali, pia hawathamini muda wa wengine.

Comments are closed.