Ultimate Solution Hub

Jaji Mkuu Koome Asema Anatamaushwa Na Ufisadi Mahakamani

Jaji mkuu martha koome amesema anatamaushwa na ufisadi ambao bado umekita mzizi katika idara ya mahakama.subscribe to ntv kenya channel for latest kenyan new. Ahmednasir abdullahi ameshutumu mfumo wa mahakama kwa ufisadi uliokithiri unaochochewa na cj martha koome kutofahamu kile kinachotokea katika ngazi ya mahakama; ahmednasir alidai kuwa cj koome anaongoza idara ya mahakama kwenye waraka wa kurasa 10 kuhusu mabadiliko ya kijamii kupitia upatikanaji wa haki ambao hauelezi waziwazi ajenda yake.

Rais william ruto amesema kwamba yuko tayari kujadiliana na maafisa wa idara ya mahakama wakiongozwa na jaji mkuu martha koome ili kutatua suala la ufisadi. rais alisema kutumia mkakati wa ushirikiano kati ya asasi tatu kuu za serikali ambazo ni afisi ya rais, bunge na mahakama kutaimarisha vita dhidi ya ufisadi serikalini. kiongozi wa nchi […]. Baada ya rais wa kenya, william ruto kushutumu mahakama katika kitengo cha sheria cha serikali akidai kuna ufisadi na majaribio ya makusudi ya kukwamisha miradi muhimu ya serikali, jaji mkuu, martha koome amelaani matamshi hayo akifai yanagusa masuala yaliyopo mahakamani na yanaweza kuwatisha majaji katika kutoa uamuzi. Mvutano wa mahakama: wafanyakazi wasema hawatafanya kazi juma lijalo jaji mkuu koome asema kazi kuendelea mahakamani koome asema maombolezi ya hakimu. Jaji mkuu martha koome amekubaliana na ruto kwamba uchaguzi na uamuzi viliwezesha na mungu image: facebook,maktaba kiongozi wa upinzani raila odinga ameonesha kukerwa kwake na hatua ya jaji mkuu martha koome kuitikia wito wa rais ruto katika ikulu ya nairobi, siku chache baada ya kutupiana maneno kuhusu ufisadi katika idara ya mahakama.

Comments are closed.