Ultimate Solution Hub

Jifunze Namna Ya Kunuia Nia Za Ibada Shk Khamisi Imamu Salafi

jifunze namna ya kunuia nia za ibada shk khamisiо
jifunze namna ya kunuia nia za ibada shk khamisiо

Jifunze Namna Ya Kunuia Nia Za Ibada Shk Khamisiо #manhajsalafi #salafi #salafiyah #live #allah #muhammad #salafiy #muslim #muslimah #markaz #markazpongwe #markazpongwetanga #tanzania #tanzanianmusic #tanzan. Baada ya takbira, atauweka mkono wake wa kulia juu ya wa kushoto, juu ya kifua chake. atafanya hivyo mara zote katika kusimama kwake. atasoma dua ya kuanzia swala, ikiwa ni jambo linalopendekezwa: (sub haanakallaahumma wabihamdik, watabaarakasmuk, wataalaa jadduk, walaa ilaaha ghairuk). atasoma: (auudhu billaahi minash shaitwaanir rajiim).

Zijue Nguzo Tano za ibada ya Hijja na Masharti Matano ya Hijja naођ
Zijue Nguzo Tano za ibada ya Hijja na Masharti Matano ya Hijja naођ

Zijue Nguzo Tano Za Ibada Ya Hijja Na Masharti Matano Ya Hijja Naођ Swalaah za sunnah zinapendeza kuswaliwa rakaa mbili mbili. rakaa hizo mbili unaswali kikamilifu na hata kuifanya ndefu kuliko kawaida haswa zile za swalaah za usiku. ama shahada (tahiyyaatu) unaweza kukamilisha hadi mwisho na du’aa, na hivyo ni bora zaidi. lakini pia ukifanya kwa ufupi pia hakuna tatizo maadam utakuwa umetoa shahada na. Mlango wa namna ya kuswali: ni sunna na inapendeza asimame kwa ajili ya swala pale muadhini atakaposema : qad qaamati swalaaa hakika imesimama swala, kama ikiwa imamu yupo msikitini, na kama hayupo atasimama atakapomuona, aliambiwa imamu ahmad kabla ya takbiira ya kuhirimia unasema kitu chochote? akasema: hapana,. Masharti ya kusihi swalah ya ijumaa. 1. wakati: ijumaa haisihi kabla ya kuingia wakati wake wala baada ya kutoka wakati wake kama ilivyo kwa swala nyinginezo. na wakati wake ni wakati wa swala ya adhuhuri. 2. ihudhuriwe na kundi la watu: kwani haisihi kwa mtu mmoja. na uchache wa jamaa ya ijumaa ni watu watatu. 3. Hadithi 40 za imamu nawawi. utangulizi hizi ni hadithi za mtume (s.a.w) zilizoandikwa na imam nawaw allah amridhiye. kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama sahihul bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

Comments are closed.