Ultimate Solution Hub

Jifunze Ufugaji Wa Nguruwe Ufugaji Wa Kisasa вђ Postashoptz

jifunze ufugaji wa nguruwe ufugaji wa kisasa вђ postash
jifunze ufugaji wa nguruwe ufugaji wa kisasa вђ postash

Jifunze Ufugaji Wa Nguruwe Ufugaji Wa Kisasa вђ Postash 4. ulishaji wa nguruwe jike. kabla ya kupandishwa nguruwe jike apewe kilo 2.5 hadi 3 za chakula kwa siku na kupewa maji safi na ya kutosha wakati wote. 5. jinsi ya kumtunza nguruwe mwenye mimba. utunzaji bora wa nguruwe mwenye mimba ni muhimu katika ufugaji wa nguruwe ili kupata watoto wenye uzito mkubwa na afya bora. Vitu vya kuzingatia katika ufugaji wa nguruwe. 1. banda la ufugaji wa nguruwe. nguruwe wanahitaji kuwa na banda lililojengwa kwa vifaa nafuu unaweza kutumia mchanga na simenti kuweka sakafu, ama ukatumia udongo wa mfinyanzi kwa ajili ya kuweka sakafu. ukubwa wa banda unategemeana na idadi ya nguruwe na aina ya ufugaji wa nguruwe unaotaka kufanya.

ufugaji Bora wa nguruwe jifunze Dalili Na Jinsi Ya Kuzuia Minyoo Kwa
ufugaji Bora wa nguruwe jifunze Dalili Na Jinsi Ya Kuzuia Minyoo Kwa

Ufugaji Bora Wa Nguruwe Jifunze Dalili Na Jinsi Ya Kuzuia Minyoo Kwa Ufugaji wa nguruwe ni lazima uwe wa kisasa ili kupata nguruwe bora. jamii nyingi hapa tanzania huchukulia nguruwe kama mnyama mchafu na asiyefaa kuwa karibu. Yama, mafuta na mbolea. hatahivyo wafugaji wengi hufuga ngumwe bila kuzingatia kanuni za ufugaji bora ambazo ni pamoja na uchaguzi wa njia za ufugaji na utunzaji bora wa ngumw. , dume, jike na watoto. ili ngumwe aweze kutoa mazao mengi na bora anatakiwa kulishwa chakula bora na kilichochanganywa vizuri, kufugwa kwenye nyumba bora, pia kumkinga. Ufugaji wa nguruwe na faida zake.utangulizi nguruwe ni mnyama amabaye hutumika kama chakula mbonga na pia ni zao la biashara kwa mfugaji, mjasirimali na mf. Ufugaji wa kuku wa mayai katika makala hii ya ufugaji wa hatua kwa hatua nitaelezea ufugaji wa kuku wa mayai kwa lengo la uzalishaji wa mayai kibiashara. nim.

Comments are closed.