Ultimate Solution Hub

Kapinga Atoa Maelekezo Kampuni Tanzu Za Tanesco Habarileo

Etdco na tcpm ni kampuni tanzu za shirika la umeme tanzania (tanesco). kapinga ametoa wito dar es salaam: naibu waziri wa nishati, judith kapinga ameziagiza kampuni za kutengeneza nguzo za zege tanzania (tcpm) na kampuni ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya usafirishaji na usambazaji umeme (etdco) kutekeleza kile walichokikusudia kwa maslahi mapana ya nchini. Dar es salaam: naibu waziri wa nishati, judith kapinga ameliagiza shirika la umeme tanzania (tanesco), kuboresha mfumo wa utoaji huduma kwa wateja ili kupunguza malalamiko na kuwapatia wananchi hao huduma ya umeme kwa wakati. kapinga ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara yake ya kukagua hali ya uzalishaji wa umeme katika kituo cha kuzalisha umeme megawati.

Maamuzi hayo ya naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, yametokana na baadhi ya watendaji wa tanesco na kampuni zake tanzu kushindwa kutekeleza maelekezo yake aliyoyatoa desemba 02, 2023 ya kupambana na rushwa, kujenga mahusiano na wananchi wanaowahudumia, kuimarisha uaminifu ndani na nje ya taasisi, kuacha visingizio na kutatua matatizo ya umeme yanaapojitokeza. Biteko ametoa angalizo kwa kampuni tanzu za tanesco kuhusu utendaji kazi wao ikiwemo kampuni ya uendelezaji wa jotoardhi tanzania (tgdc) ambapo kampuni hiyo ilitoa ahadi ya kuanza uchorongaji wa visima vya jotoardhi katika eneo la ngozi mbeya tarehe 1 aprili 2024 lakini bado hawajaanza kazi hiyo hivyo amemuagiza katibu mkuu wa wizara ya nishati kuisimamia ipasavyo kampuni hiyo ili nchi iweze. Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati, mhe. dkt. doto biteko amefungua rasmi maonesho ya wiki ya nishati katika viwanja vya bunge jijini dodoma ambapo amemshukuru rais, dkt. samia suluhu hassan kwa kuimarisha sekta ya nishati kutokana na nyenzo na maelekezo anayoyatoa ambayo yamempambanua kama kiongozi anayetatua matatizo ya wananchi kwa kutenda zaidi na sio maneno. Na mwandishi wetu, timesmajira online naibu waziri wa nishati judith kapinga, amewaelekeza tanesco kuweka mfumo.

Comments are closed.