Ultimate Solution Hub

Kilimo Cha Nyanya Chungu Manyamajr

kilimo Cha Nyanya Chungu Manyamajr
kilimo Cha Nyanya Chungu Manyamajr

Kilimo Cha Nyanya Chungu Manyamajr Zao hili pia hujulikana kwa jina la "nyanya chungu", "ngogwe" au "ntongo". huu ni mmea wa kitropiki, na kustawi kwake karibu ni sawa na bilinganya. mmea hukua na kufikia urefu wa meta moja hadi moja na unusu na matawi na majani yake hufanya kichaka. Kilimo bora cha nyanya chunguutangulizinyanya chungu au ngogwe ni zao la kitropic linalotoa mazao yake kama matunda na kutumika kama mboga, kuna aina mbalim.

kilimo Bora cha nyanya chungu Growing African Eggplant
kilimo Bora cha nyanya chungu Growing African Eggplant

Kilimo Bora Cha Nyanya Chungu Growing African Eggplant Kilimo bora cha nyanya chungu (growing african eggplant) nyanya chungu ni zao jamii ya mbogamboga linalotumika kwa matumizi mengi kama mboga, dawa n.k. zao hili hustawi maeneo yenye halijoto tofauti tofauti nchini tanzania. mazingira. zao hili hustawi vizuri maeneo yenye baridi ya wastani na joto la wastani kuanzia nyuzi joto 25°c hadi 35°c. Video hii itatufunza jinsi ya kulima nyanyachungu kisasa na namna bora ya kukabiliana na magonjwa pamoja na matumizi ya mbolea na mbegu bora,usisahau kusubsc. Fahamu kanuni za kuzingatia katika ulimaji wa zao la nyanya chungu. Nyanya chungu ni mmea mgumu, kwani unaweza kustahimili upungufu wa maji kuliko aina nyingine za mboga. vile vile haushambuliwi sana na baadhi ya magonjwa yasababishwayo na mvua au uchepechepe mkubwa. ingawa yako magonjwa na wadudu ambao hushambulia zao hili, madhara yake si makubwa sana kiasi cha kutisha au kumkatisha.

kilimo cha nyanya chungu Ngogwe Youtube
kilimo cha nyanya chungu Ngogwe Youtube

Kilimo Cha Nyanya Chungu Ngogwe Youtube Fahamu kanuni za kuzingatia katika ulimaji wa zao la nyanya chungu. Nyanya chungu ni mmea mgumu, kwani unaweza kustahimili upungufu wa maji kuliko aina nyingine za mboga. vile vile haushambuliwi sana na baadhi ya magonjwa yasababishwayo na mvua au uchepechepe mkubwa. ingawa yako magonjwa na wadudu ambao hushambulia zao hili, madhara yake si makubwa sana kiasi cha kutisha au kumkatisha. 5. kipindi cha kuanza kuchuma hadi mmea kuchakaa kwa aina nyingi za tomato ni mwezi mmoja, hoho zenye ubora ni miezi 2, lakini nyanya chungu huchumwa kwa zaidi ya miezi 8 ili mradi zinamwagiliwa maji na mbolea. 6. wakati bei ya tomato ikianguka mkulima nae hugalagala chini asisimame tena lakini nyanya chungu haimtupi mkulima kivile. Kiasi cha mbegu za nyanya kwenye kilimo cha nyanya. kwa ekari moja utahitaji mbegu gram 100 150 kwa opv variety, na gram 30 50 kwa hybrid (f1) . gharama za kutosha ekari moja kwa opv variety ni tsh 100,000 180,000, na kwa hybrid (f1) gharama ni kati ya tsh 200,000 400,000 kutegemea na aina yenyewe ya mbegu na hekari.

kilimo cha nyanya chungu
kilimo cha nyanya chungu

Kilimo Cha Nyanya Chungu 5. kipindi cha kuanza kuchuma hadi mmea kuchakaa kwa aina nyingi za tomato ni mwezi mmoja, hoho zenye ubora ni miezi 2, lakini nyanya chungu huchumwa kwa zaidi ya miezi 8 ili mradi zinamwagiliwa maji na mbolea. 6. wakati bei ya tomato ikianguka mkulima nae hugalagala chini asisimame tena lakini nyanya chungu haimtupi mkulima kivile. Kiasi cha mbegu za nyanya kwenye kilimo cha nyanya. kwa ekari moja utahitaji mbegu gram 100 150 kwa opv variety, na gram 30 50 kwa hybrid (f1) . gharama za kutosha ekari moja kwa opv variety ni tsh 100,000 180,000, na kwa hybrid (f1) gharama ni kati ya tsh 200,000 400,000 kutegemea na aina yenyewe ya mbegu na hekari.

kilimo cha Ngogwe nyanya chungu Jifunze Jinsi Ya Kulima nyanya chun
kilimo cha Ngogwe nyanya chungu Jifunze Jinsi Ya Kulima nyanya chun

Kilimo Cha Ngogwe Nyanya Chungu Jifunze Jinsi Ya Kulima Nyanya Chun

Comments are closed.