Ultimate Solution Hub

Liveрџ ґkhutba Na Swala Ya Ijumaa Ikiwa Mubashara Kutoka Msikitini Kwa Shk

Liveрџ ґshuhudia Khutba na swala ya ijumaa mubashara kutoka
Liveрџ ґshuhudia Khutba na swala ya ijumaa mubashara kutoka

Liveрџ ґshuhudia Khutba Na Swala Ya Ijumaa Mubashara Kutoka #riyadhtvznz #zanzibar shuhudia khutba na swala ya ijumaa ikikujia mushara kabisa kutoka masjid noor muhammad kwa mchina mwanzo zanzibar ( msikitini kwa shk. #riyadhtvznz #zanzibarfollow us on:instagram: instagram riyadhtvznz facebook: facebook riyadhtvonlineznztiktok: t.

Liveрџ ґkhutba na swala ya ijumaa mubashara kutoka msikitini
Liveрџ ґkhutba na swala ya ijumaa mubashara kutoka msikitini

Liveрџ ґkhutba Na Swala Ya Ijumaa Mubashara Kutoka Msikitini Masharti ya kusihi swalah ya ijumaa. 1. wakati: ijumaa haisihi kabla ya kuingia wakati wake wala baada ya kutoka wakati wake kama ilivyo kwa swala nyinginezo. na wakati wake ni wakati wa swala ya adhuhuri. 2. ihudhuriwe na kundi la watu: kwani haisihi kwa mtu mmoja. na uchache wa jamaa ya ijumaa ni watu watatu. 3. Iwe ni biashara, kilimo, ajira, uvuvi na nyinginezo. kwa upande wa hadithi, zipo hadithi nyingi zilizopokewa katika kutaja uwajibu wa swala hii ya ijumaa. miongoni mwa hadithi hizo ni hizi zifuatazo: . v twaariq ibn shihaab allah amuwiye radhi amepokea kutoka kwa mtume wa allah rehema na amani zimshukie: “ijumaa ni haki ya wajibu juu ya kila. Swala ya ijumaa. katika siku ya ijumaa na katika wakati wa swala ya adhuhuri, allah amefaradhisha swala ambayo ni katika alama kubwa sana za uislamu, na ni katika faradhi zake muhimu sana. katika swala hiyo waislamu hukusanyika mara moja kwa wiki, na husikiliza mawaidha na maelekezo ambayo imamu wa swala ya ijumaa anayatoa kwao, kisha wanaswali. Ijumaa inaitwaje miongoni mwa waislamu. inaaminika kuwa jina la sikukuu hiyo, juma, linatokana na neno la kiarabu "jamaa" "kukusanya": siku hii inaitwa neno "juma", kwani kwa kiarabu inaashiria mkusanyiko wa watu. kabla ya uislamu, katika kipindi cha "jahiliyya" (kipindi cha ujahilia kabla ya uislamu), waarabu waliiita siku hii neno "aruba.

Recрџ ґkhutuba na swala ya ijumaa mubashara kutoka kwa Sh
Recрџ ґkhutuba na swala ya ijumaa mubashara kutoka kwa Sh

Recрџ ґkhutuba Na Swala Ya Ijumaa Mubashara Kutoka Kwa Sh Swala ya ijumaa. katika siku ya ijumaa na katika wakati wa swala ya adhuhuri, allah amefaradhisha swala ambayo ni katika alama kubwa sana za uislamu, na ni katika faradhi zake muhimu sana. katika swala hiyo waislamu hukusanyika mara moja kwa wiki, na husikiliza mawaidha na maelekezo ambayo imamu wa swala ya ijumaa anayatoa kwao, kisha wanaswali. Ijumaa inaitwaje miongoni mwa waislamu. inaaminika kuwa jina la sikukuu hiyo, juma, linatokana na neno la kiarabu "jamaa" "kukusanya": siku hii inaitwa neno "juma", kwani kwa kiarabu inaashiria mkusanyiko wa watu. kabla ya uislamu, katika kipindi cha "jahiliyya" (kipindi cha ujahilia kabla ya uislamu), waarabu waliiita siku hii neno "aruba. Ni nzuri kwa mujibu wa al albaaniy katika “as swahiyhah” (05 624) nambari. 2478. tazama mapokezi ya upokezi uliotangulia katika du´aa ya kuingia msikitini nambari. (20). nyongeza isemayo: “nikinge mimi kutokamana na shaytwaan aliyefukuzwa mbali na rehema za allaah.” imepokelewa na ibn maajah. tazama “swahiyh ibn maajah” (01 129). Na tukikubaliana na haya, basi tunajua kwamba mawaidha kwenye khutbah ya ijumaa ndio dhamira kuu ya mazungumzo, na khatibu akilifanya, anakuwa amefanya jambo la kisharia. na ikiwa atatanguliza sifa kwa allaah na kwa rasuli wake, au akaingiza ndani ya khutbah yake qaraa za qur aan, basi inakuwa ni utimilifu na uzuri zaidi”.

Comments are closed.