Ultimate Solution Hub

Luis Malole Saa Moja Ya Kunena Kwa Lugha

luis Malole Saa Moja Ya Kunena Kwa Lugha Youtube
luis Malole Saa Moja Ya Kunena Kwa Lugha Youtube

Luis Malole Saa Moja Ya Kunena Kwa Lugha Youtube Jizoeze kuomba muda mrefu kwa kunena kwa lugha kwa lengo la kujijenga .!!!. Mtiririko wa maombi ya kunena kwa lugha kutoka kwa mtumishi wa mungu luis malole.

Dakika 30 Za Kuomba kwa kunena kwa lugha Kuzitaja Siri Za Rohoni
Dakika 30 Za Kuomba kwa kunena kwa lugha Kuzitaja Siri Za Rohoni

Dakika 30 Za Kuomba Kwa Kunena Kwa Lugha Kuzitaja Siri Za Rohoni Omba kwa kunena kwa lugha kwa muda mrefu ili kujijenga nafsi yako pamoja na kuoba kama apendavyo mungu. Si wote wanaonena kwa lugha hunena lugha za kimungu. wengine wamekariri na kuzoea kusikia sauti fulani nao huiga na kuzizoea. ila hiyo hali haiondoi umuhimu wa kujazwa roho mtakatifu na kunena kwa lugha. iko clear mtu mwenye roho mtakatifu lazima anene kwa lugha. kuna karama za lugha hii si kwa wote ila kunena kwa lugha ni kwa wote. “lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa roho kwa kufaidiana. maana mtu mmoja kwa roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo roho yeye yule; mwingine imani katika roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika roho yule mmoja; na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha.” 1 kor. Nashukuru mungu kwa maswali na majibu mengi ya wote juu ya habari ya kunena kwa lugha.ushauri wangu ni kwamba wale ambao hawajaokoka na wanataka kujua habari ya kunenakwa lugha basi hawana budi kuokoka kwanza,sababu jambo la kunena kwa lugha hapo zamani kabla makanisa ya pentekoste hayajasambaa kama hivi sasa swala hili lilionekana kama kituko lakini nafurahi kwa maswali haya yote inaonyesha.

Kuliadhimisha Jina La Yesu Wakati Wa Maombi luis malole Youtube
Kuliadhimisha Jina La Yesu Wakati Wa Maombi luis malole Youtube

Kuliadhimisha Jina La Yesu Wakati Wa Maombi Luis Malole Youtube “lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa roho kwa kufaidiana. maana mtu mmoja kwa roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo roho yeye yule; mwingine imani katika roho yeye yule; na mwingine karama za kuponya katika roho yule mmoja; na mwingine matendo ya miujiza; na mwingine unabii; na mwingine kupambanua roho; mwingine aina za lugha; na mwingine tafsiri za lugha.” 1 kor. Nashukuru mungu kwa maswali na majibu mengi ya wote juu ya habari ya kunena kwa lugha.ushauri wangu ni kwamba wale ambao hawajaokoka na wanataka kujua habari ya kunenakwa lugha basi hawana budi kuokoka kwanza,sababu jambo la kunena kwa lugha hapo zamani kabla makanisa ya pentekoste hayajasambaa kama hivi sasa swala hili lilionekana kama kituko lakini nafurahi kwa maswali haya yote inaonyesha. 3. kunena kwa lugha mpya 1) petro anasema ‘kushuhudia ndio maisha yetu’. matendo yana sauti zaidi ya maneno. ni kwa njia gain wewe unashuhudia? 2) ’kunena kwa lugha mpya mnenaji‘. unaelewa nini kwa maneno haya? 3) kama umewahi wewe mwenyewe ‘kunena kwa lugha’’, ulijisikiaje ulipomsikia petro akinena na kuimba katika lugha? 4) huwezi kujua kukimbia kabla ya kutembea. unahitaji. Karama za unabii na kunena kwa lugha. 1 ufuatilieni upendo, na kutaka sana karama za rohoni, lakini zaidi kwamba mpate kutoa unabii. 2 maana yeye anenaye kwa lugha, hasemi na watu, bali husema na mungu; maana hakuna asikiaye; lakini anena mambo ya siri katika roho yake. 3 bali yeye ahutubuye, asema na watu maneno ya kuwajenga, na kuwafariji, na.

Comments are closed.