Ultimate Solution Hub

Mambo Mawili 2 Muhimu Ili Kupewa Kibali Cha Kujenga Jengo Ujenzi Elekezi

mambo Mawili 2 Muhimu Ili Kupewa Kibali Cha Kujenga Jengo Ujenzi Elekezi
mambo Mawili 2 Muhimu Ili Kupewa Kibali Cha Kujenga Jengo Ujenzi Elekezi

Mambo Mawili 2 Muhimu Ili Kupewa Kibali Cha Kujenga Jengo Ujenzi Elekezi Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi. mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi. note: kufuata taratibu za kitaalamu katika ujenzi kunaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi mpaka 15% pamoja na kukuepushia hasara inayoweza kutokea mbeleni, sambamba na kukupatia kitu bora, kizuri na chenye thamani. 1. kibali cha ujenzi. kulingana na sheria ya ujenzi wa majengo mijini si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza jengo jipya bila ya: (i) kutuma maombi kwa mamlaka ya mji. (ii) kuwasilisha michoro ya jengo na kumbu kumbu husika. (iii) kupata kibali kwa maandishi 'kinachoitwa “kibali cha ujenzi.”. 2.

mambo Mawili 2 Muhimu Ili Kupewa Kibali Cha Kujenga Jengo Ujenzi Elekezi
mambo Mawili 2 Muhimu Ili Kupewa Kibali Cha Kujenga Jengo Ujenzi Elekezi

Mambo Mawili 2 Muhimu Ili Kupewa Kibali Cha Kujenga Jengo Ujenzi Elekezi Taratibu za kupata kibali cha ujenzi (building permit) 1. kibali cha ujenzi. kulingana na sheria ya serikali za mitaa sura 288 (urban authorities) act (cap. 288) (development control regulations, 2008, mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi, 2018, si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza kujenga jengo bila ya : . Fomu ya notisi hii utapatiwa unapokabidhiwa kibali cha ujenzi. 2. kujaza fomu ya ukaguzi na kuwasilisha kwenye ofisi ya ujenzi ili hatua hiyo ya ujenzi unayotaka kufanya ikaguliwe. 3. utapatiwa “certificate of occupation” baada ya ujenzi wako kukamilika iwapo tu hatua muhimu za ujenzi zimekaguliwa. 8. 1. kibali cha ujenzi. kulingana na sheria ya serikali za mitaa sura 288 (urban authorities) act (cap. 288) (development control regulations, 2008, mwongozo wa utoaji wa vibali vya ujenzi, 2018, si ruhusa kwa mtu yeyote kujenga au kuanza kujenga jengo bila ya : . kutuma maombi kwa mamlaka ya mji husika. Ikiwa unafikiria kuanza kujenga ni vyema ukazingatia mambo haya saba ( 7 ) muhimu ili kufanikisha zoezi la ujenzi kwenda sawia. 1. fedha. kabla ya kuanza ujenzi hakikisha una chanzo kizuri cha mapato ambacho kitakurahisishia shughuli ya ujenzi hivyo kukamilisha nyumba yako kwa wakati. pia ni vyema kuwa makini na matumizi ya fedha katika kila.

Comments are closed.