Ultimate Solution Hub

Mkutano Wa Kimataifa Dhidi Ya Taka Za Plastiki Kuanza Tena вђ Dw вђ 22

mkutano wa kimataifa dhidi ya taka za plastiki ku
mkutano wa kimataifa dhidi ya taka za plastiki ku

Mkutano Wa Kimataifa Dhidi Ya Taka Za Plastiki Ku Mkutano wa kimataifa dhidi ya taka za plastiki kuanza tena. bakari ubena. 22.04.2024. wapatanishi kutoka nchi 175 wanakutana kuanzia jumanne hii nchini canada, ili kuhitimisha maandalizi ya. 23.04.2024 23 aprili 2024. viongozi wa kimataifa wamekusanyika katika mji wa ottawa nchini kanada kwa mazungumzo ya mkataba wa umoja wa mataifa wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki duniani.

Vijana Kutoka Kenya Wafanya mkutano wa Maandalizi ya mkutano wa Hatua
Vijana Kutoka Kenya Wafanya mkutano wa Maandalizi ya mkutano wa Hatua

Vijana Kutoka Kenya Wafanya Mkutano Wa Maandalizi Ya Mkutano Wa Hatua Kulingana na takwimu za umoja wa mataifa, tani zipatazo bilioni 9.2 za plastiki zimezalishwa tangu mwaka 1950. idadi kubwa ya taka hizo haziwezi kuoza na hivyo kuishia kurundikana baharini na mitaani. Wapatanishi kutoka nchi 175 wanakutana kuanzia jumanne hii nchini canada, ili kuhitimisha maandalizi ya mkataba wa kimataifa wa kukomesha uchafuzi wa mazingira utokanao na plastiki. hatua hiyo inatarajiwa miezi mitano baada ya duru ya mwisho ya mazungumzo yaliyofanyika nchini kenya. mwaka 2022, mataifa hayo yaliafikiana kukamilisha mwishoni mwa mwaka huu, mkataba wa kwanza wa umoja. Soma zaidi mada inayofanana: kenya. mazingira. tabianchi. uchafuzi wa hali ya hewa. mazungumzo ya kimataifa yameanza siku ya jumatatu nchini kenya kujadili hatua madhubuti dhidi ya kuenea kwa taka. Mabadiliko ya tabianchi. taka za plastiki. ripoti unep. uchafuzi wa taka za plastiki unaweza kupunguzwa kwa asilimia 80 ifikapo mwaka 2040 ikiwa nchi na makampuni yatafanya mabadiliko ya kina ya sera na masoko kwa kutumia teknolojia zilizopo, kulingana na ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la umoja wa mataifa la mpango wa mazingira unep.

Afrika Kusini Yaandaa mkutano wa kimataifa dhidi ya Ubaguzi wa R
Afrika Kusini Yaandaa mkutano wa kimataifa dhidi ya Ubaguzi wa R

Afrika Kusini Yaandaa Mkutano Wa Kimataifa Dhidi Ya Ubaguzi Wa R Soma zaidi mada inayofanana: kenya. mazingira. tabianchi. uchafuzi wa hali ya hewa. mazungumzo ya kimataifa yameanza siku ya jumatatu nchini kenya kujadili hatua madhubuti dhidi ya kuenea kwa taka. Mabadiliko ya tabianchi. taka za plastiki. ripoti unep. uchafuzi wa taka za plastiki unaweza kupunguzwa kwa asilimia 80 ifikapo mwaka 2040 ikiwa nchi na makampuni yatafanya mabadiliko ya kina ya sera na masoko kwa kutumia teknolojia zilizopo, kulingana na ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la umoja wa mataifa la mpango wa mazingira unep. Hii leo jaridani tunaangazia mada kwa kina ambapo mkutano wa tatu kati ya mitano wa kamati ya kimataifa ya majadiliano baina ya nchi kuhusu uchafuzi wa taka za plastiki inc 3 umekunja jamvi mwishoni mwa wiki jijini nairobi kenya, hii ikiwa ni wiki moja tu kabla ya kuanza kwa mkutano wa cop28 utakaofanyika huko dubai katika falme za nchi za kiarabu. pia tunakuletea habari kwa ufupi na mashinani. Kenya ni miongoni mwa mataifa yanayotaka sheria kali zipitishwe kuhusu utengenezaji na matumizi ya plastiki, wakati tayari ikiwa imepitisha sheria kadhaa za kupiga marufuku matumizi wa baadhi ya mifuko ya plastiki tangu 2017. ruto ameongeza kusema kwamba, “ni lazima tubadili matumizi yetu ya plastiki, pamoja na namna ya kutupa taka hizo.”.

Comments are closed.