Ultimate Solution Hub

Mwenge Wa Uhuru Watembelea Wazindua Na Kuweka Jiwe La Msin

Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa 2024 ndugu godfrey eliakim mnzava ameweka jiwe la msingi mradi wa uuzaji wa mafuta kituo cha puma kata ya oloirien mapema leo julai 20, 2024. mradi huo ambao umeanza kutoa huduma unategemea kugharimu kias8 cha shilingi milioni 590 mpaka kukamilika kwake. Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa godfrey mnzava baada ya kukagua hatua za ujenzi ameridhishwa na kuweka jiwe la msingi pamoja na kupanda miti katika eneo la kituo cha afya huku akisisitiza hatua zillizosalia zikamilishwe kwa wakati na ubora.

Mradi huo unagharimu jumla ya shillingi bilioni 4.37 fedha kutoka serikali kuu na umefikia asilimia 75%, mradi unazalisha maji lita milioni 2.4 kwa siku na utanufaisha wakazi wapatao 57,607 wa maeneo ya mamlaka ya mji mdogo wa mirerani na maeneo ya jirani ya kata za shambarai na naisinyai. kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa ndg. Na adelinus banenwa. mbio za mwenge wa uhuru kitaifa 2024 umeweka jiwe la msingi katika mradi wa maji taka unaosimamia na mamlaka ya maji na usafi wa mazingira bunda buwssa. akisoma taarifa ya utekelezaji wa mradi huo wa maji taka mkurugenzi wa buwssa bi esther giryoma amesema mradi huo unagharimu zaidi ya shilingi bilion1.728. Aidha, ninakukabidhi na itifaki ya wakimbiza mwenge wa uhuru kitaifa sita wakiwa na afya njema wakiongozwa na godfrey mnzava”. alisema kuwa mwenge wa uhuru ukiwa ndani ya wilaya ya chemba, ulikimbizwa bila kusimama umbali wa kilometa 163 ukitembelea, kukagua na kuweka jiwe la msingi kwenye miradi sita yenye thamani ya shilingi 1,293,815,620. Mkuu wa mkoa wa dar es salaam albert chalamila, leo mei 7, 2024 amesema mkoa huo unatarajia kupokea mwenge wa uhuru utakaowasili mei 08, 2024 mkoani humo, utapitia miradi 39 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 479.6 huku ukikimbizwa kwa takribani kilomita 427.78. rc chalamila ametoa kauli hiyo leo mei 07, 2024 jijini dar es.

Comments are closed.