Ultimate Solution Hub

Mwenge Wa Uhuru Wazindua Miradi 13 Wilaya Ya Tand

mwenge wa uhuru wazindua Mradi wa Utunzaji wa Vyanzo Vya Maji Wa
mwenge wa uhuru wazindua Mradi wa Utunzaji wa Vyanzo Vya Maji Wa

Mwenge Wa Uhuru Wazindua Mradi Wa Utunzaji Wa Vyanzo Vya Maji Wa Mkuu huyo wa mkoa wa lindi amesema jumla ya miradi 53 iliyopo katika wilaya tano na halmashauri sita zilizopo mkoani humo. ambapo miradi 13 itazinduliwa, 15 itawekwa mawe ya msingi na 25 itatembelewa." mwenge huu wa uhuru katika mkoa huu wa lindi utapita katika wilaya zote tano na halmashauri sita katika kilo meta 1,128," alisema telack. Mbio za mwenge wa uhuru 2024 katika wilaya ya iramba umepitia miradi mbalimbali ya maendeleo hakuna mradi uliokataliwa. mbio za mwenge wa uhuru 2024 wilaya ya iramba julai 9,2024 umekimbizwa umbali wa km 68.1 umetembelea, umekagua, umeweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya tsh. bilioni 5.084.

Nyikani Tv On Twitter Mbunge wa Jimbo La Lupa Mhe Masache Kasaka
Nyikani Tv On Twitter Mbunge wa Jimbo La Lupa Mhe Masache Kasaka

Nyikani Tv On Twitter Mbunge Wa Jimbo La Lupa Mhe Masache Kasaka Mkuu wa mkoa wa dar es salaam albert chalamila, leo mei 7, 2024 amesema mkoa huo unatarajia kupokea mwenge wa uhuru utakaowasili mei 08, 2024 mkoani humo, utapitia miradi 39 yenye thamani ya zaidi ya bilioni 479.6 huku ukikimbizwa kwa takribani kilomita 427.78. rc chalamila ametoa kauli hiyo leo mei 07, 2024 jijini dar es. Mbio za mwenge wa uhuru 2024 katika wilaya ya ilala mkoa wa dar es salaam umekimbizwa umbali wa km 81.7 na kupitia miradi 7 yenye thamani ya tsh 40,941,764,931 mwenge wa uhuru katika wilaya hiyo ukiongozwa na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa ndg godfrey eliakimu mnzava umetembelea, umekagua, umeweka jiwe la msingi na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya hiyo. Miradi 72 ya maendeleo yenye thamani ya sh. bilioni 24. 9, inatarajiwa kuzinduliwa na mbio za mwenge uhuru, mkoani mara, zitakazoanza kesho na kukimbizwa kwa muda wa siku tisa. hayo ni kwa mujibu wa mkuu wa mkoa huo, kanali evance mtambi wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini musoma leo na kufafanua kuwa utakimbizwa katika wilaya zote sita za mkoa huo. Mbio za mwenge wa uhuru 2024 katika wilaya ya ubungo umepitia miradi mbalimbali ya maendeleo hakuna mradi uliokataliwa. mbio za mwenge wa uhuru 2024 wilaya ya ubungo leo mei 12,2024 umekimbizwa umbali wa km 64.5 umetembelea, umekagua, umeweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya tsh 306,917,122,909.99 =.

mwenge wa uhuru Watua Mkoa wa Pwani Kuzindua miradi 126 Nipashe
mwenge wa uhuru Watua Mkoa wa Pwani Kuzindua miradi 126 Nipashe

Mwenge Wa Uhuru Watua Mkoa Wa Pwani Kuzindua Miradi 126 Nipashe Miradi 72 ya maendeleo yenye thamani ya sh. bilioni 24. 9, inatarajiwa kuzinduliwa na mbio za mwenge uhuru, mkoani mara, zitakazoanza kesho na kukimbizwa kwa muda wa siku tisa. hayo ni kwa mujibu wa mkuu wa mkoa huo, kanali evance mtambi wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini musoma leo na kufafanua kuwa utakimbizwa katika wilaya zote sita za mkoa huo. Mbio za mwenge wa uhuru 2024 katika wilaya ya ubungo umepitia miradi mbalimbali ya maendeleo hakuna mradi uliokataliwa. mbio za mwenge wa uhuru 2024 wilaya ya ubungo leo mei 12,2024 umekimbizwa umbali wa km 64.5 umetembelea, umekagua, umeweka jiwe la msingi, pamoja na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye thamani ya tsh 306,917,122,909.99 =. Aug 2, 2024. #1. mwenge wa uhuru musoma vijijini: miradi ya thamani ya tsh 3.5 bilioni yakaguliwa na kukubalika . mwenge wa uhuru ulipokelewa kwa shangwe nyingi mno kwenye halmashauri ya wilaya ya musoma (musoma dc) yenye jimbo la musoma vijijini. hiyo ilikuwa juzi, jumatano, 31.7.2024. miradi yote 7 ilikaguliwa na kukubalika. Mwenge huo wa uhuru ukiwa wilayani kishapu umekimbizwa kilomitab 91.5 umezindua,kuona na kuweka jiwe la msingi miradi 10 ya maendeleo yenye thamani ya sh.bilioni 3.5. kauli mbiu ya mwenge wa uhuru kitaifa 2024 inasema"tunza mazingira na shiriki uchaguzi wa serikali za mitaa kwa ujenzi wa taifa endelevu".

Comments are closed.