Ultimate Solution Hub

Nguu Za Jadi Uchambuzi Kuwafahamu Wahusika Wakuu Kcse Kiswahili

nguu za jadi вђ Alken
nguu za jadi вђ Alken

Nguu Za Jadi вђ Alken Nguu za jadi,kuwafahamu wahusika na sifa zao, wahusika wakuu, sifa zake mangwasha, sifa zake mrima, sifa zake chifu mshabaha, sifa zake mbwashu, sifa zake si. Video hii inaangazia wahusika wakuu na wadogo katika riwaya ya nguu za jadi. jiunge nasi katika uchambuzi huu. karibu!!.

Solution nguu za jadi Guide Sample Studypool
Solution nguu za jadi Guide Sample Studypool

Solution Nguu Za Jadi Guide Sample Studypool 21. 'ibilisi wa mtu ni mtu.' jadili ukweli wa usemi huu kwa kurejelea wahusika wanne katika riwaya hii. (alama 20) 22. cheiya ni mfano wa kuku ambaye anakimbilia punje za mpunga. fafanua ukweli wa kauli hii. (alama 20) 23. taja nguu ambazo zinatokana na jadi na ueleze jinsi zinavyovunjwa katika riwaya hii. (alama 20) 24. Ni mkewe mrima na mhazili wa chifu mshabaha. sifa za mangwasha. (1). ni mvumilivu. mangwasha anavumilia matatizo mengi ndani ya ndoa yake yanayotokana na ulevi wa mumewe. hata baada ya kukimbiwa na mrima, anavumilia mateso mengi ya ukosefu wa pesa za kuwatunza wanawe, kukiwemo pia kejeli za sagilu. A. wahusika wakuu hawa ni wahusika ambao hujitokeza mahali kwingi katika fasihi kiasi cha kwamba wanajitokeza kuanzia mwanzo wa kazi ya fasihi hadi mwisho. kwa kawaida wahusika hawa hubeba maudhui makuu ya fasihi. b. wahusika wadogo hujitokeza kwa uchache sana katika kazi ya fasihi. hujitokeza katika sehemu fulani fulani japo hawaisawiri kazi. Mbinu za lugha. nguu za jadi maswali na majibu. get the complete nguu za jadi in pdf on easyelimu by clicking the green " get on whatsapp " button on the top left of the specific sub topic page. note: the full setbook guide ( pdf notes only) is ksh 400. however, if you opt to get only 1 of the parts named above each costs ksh 50.

Comments are closed.