Ultimate Solution Hub

Profesa Kitila Mkumbo Aja Na Mbinu Ya Kukuza Somo La Hisabati Jimbo La

profesa Kitila Mkumbo Aja Na Mbinu Ya Kukuza Somo La Hisabati Jimbo La
profesa Kitila Mkumbo Aja Na Mbinu Ya Kukuza Somo La Hisabati Jimbo La

Profesa Kitila Mkumbo Aja Na Mbinu Ya Kukuza Somo La Hisabati Jimbo La Profesa akizungumza kwenye hafla hiyo. waziri wa viwanda na biashara, profesa kitila mkumbo ambaye pia ni mbunge wa ubungo (ccm), dar amekuja na kampeni ya kuinua somo la hisabati kwenye jimbo hilo iitwayo ‘kiu hisabati ubungo’ pamoja na kuzindua nembo mpya ya jimbo hilo. katika kampeni hiyo waziri mkumbo amekuja na ubunifu wa kutoa motisha. Waziri kitila mkumbo aanzisha kampeni ya kukuza somo la hisabati jimboni kwake waziri wa viwanda na biashara, profesa kitila mkumbo, ambaye pia ni mbunge wa.

profesa Kitila Mkumbo Aja Na Mbinu Ya Kukuza Somo La Hisabati Jimbo La
profesa Kitila Mkumbo Aja Na Mbinu Ya Kukuza Somo La Hisabati Jimbo La

Profesa Kitila Mkumbo Aja Na Mbinu Ya Kukuza Somo La Hisabati Jimbo La Profesa mkumbo amesema amelazimika kulivalia njuga somo hilo kwenye jimbo lake baada ya mwaka jana kufeli kwa kiasi kikubwa na kukosa mwanafunzi hata mmoja aliyepata alama a. katika hamasa yake amesema ameandaa tuzo na cheti kwa walimu wa hisabati watakaofanya vizuri na kupata alama a. Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia, profesa adolf mkenda amesema ufaulu wa somo la hisabati ni janga ambalo halitakiwi kufumbiwa macho badala yake kutafutiwa ufumbuzi. hivyo ameagiza idara ya hisabati chuo kikuu cha dar es salaam (udsm) kufanya utafiti ili kubaini chanzo cha wanafunzi wengi kufeli somo hilo kwenye mtihani wa kidato cha nne. Ufaulu miaka mingine. tofauti na miaka mingine, mwaka 2017 ufaulu wa somo hilo ulikuwa asilimia 19.19, mwaka 2018 ufaulu ulikuwa asilimia 20.02 huku mwaka 2019 ufaulu ukiwa asilimia 20.03. walimu wanena. mwalimu mstaafu, elizaberth komba anasema ufundishaji wa somo la hisabati ni tofauti na masomo mengine, hivyo huwalazimu kufundisha taratibu. Waziri wa nchi, ofisi ya rais, mipango na uwekezaji, profesa kitila mkumbo ametoa rai kwa watumishi wote wa umma waliokabidhiwa dhamana katika utumishi watambue wanajukumu la msingi la kukuza biashara na kuzitafutia soko. hayo yamebainishwa leo agosti 6 2024 wakati akifungua kongamano la uwekezaji katika sekta za utalii, kilimo lilofanyika.

Comments are closed.