Ultimate Solution Hub

Ruqyah Kujitibu Maradhi Ya Sihri Hasad Kijicho Na Massi Ustadh Abdulmalik Mohammad

About press copyright contact us creators advertise developers terms privacy policy & safety how works test new features nfl sunday ticket press copyright. 69. “kisha kula katika kila matunda, na fuata njia za rabb wako zilizofanywa nyepesi (kuzipita). kinatoka katika matumbo yao kinywaji cha rangi mbali mbali ndani yake mna shifaa (ya magonjwa) kwa watu. hakika katika hayo, bila shaka ni aayah (ishara, dalili, zingatio) kwa watu wanaotafakari. [an nahl: 68 69].

Kujikinga au kujitibu na sihri (uchawi), kuvamiwa na mashaytwaan, majini na maovu yoyote yale ni kudumisha kuisoma qur aan kwa ujumla. vile vile suwrah na aayah zilizothibiti kuwa zinafaa ruqyah, kama suwratul faatihah, suwratul baqarah, aayatul kursiy, aayah mbili za mwisho wa suwratul baqarah, suwratul ikhlaasw na al mu’awwidhataan (al. 01 ruqyah ya shariy'ah na hukmu zake ; 02 ruqyah: suwrah, aayah na mengineyo yaliyothibiti kutumia kwa ajili ya ruqyah; 03 ruqyah: du’aa za sunnah kwa ajili ya maradhi na mabaya mengineyo; 04 ruqyah: du’aa za kujiombea au kumuombea mgonjwa; 05 ruqyah dhidi ya uhasidi na jicho baya; 06 ruqyah dhidi ya sihri, mashaytwaan, majini na kila aina. About press copyright contact us creators advertise press copyright contact us creators advertise. Say: i seek refuge with the lord and cherisher of mankind, the king of mankind, the god [or judge] of mankind, from the mischief of the whisperer [of evil], who withdraws [after his whisper], [the same] who whispers into the hearts of mankind, among jinn and among men. other verses, which are often used during ruqyah: al baqarah 6 10; 163 164.

Comments are closed.