Ultimate Solution Hub

Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge Na Kuuweka Mlima Kilimanjaro Michuzi Blog

sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka mlima kilimanja
sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka mlima kilimanja

Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge Na Kuuweka Mlima Kilimanja Maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge wa uhuru mkoani dar es salaam desemba 1, 2011. Kule kilimanjaro, tukio hilo halikujulikana maana yake sana hadi pale baba wa taifa, mwalimu julius nyerere, alipozungumza maneno yafuatayo kuhusu tukio hilo; ""tunataka kuwasha mwenge na kuuweka.

Muungwana blog
Muungwana blog

Muungwana Blog Nyerere alimuagiza sheikh yahya hussein atafsiri maana ya ile namba 115 aliyokuwa ameiandika mkononi forojo akamwambia: “namba 115 maana yake utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38,” na ndivyo ilivyokuwa. mwaka 1999 mwalimu nyerere alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na. “ndio maana oktoba 1959 mwalimu nyerere alitamka namnukuu, ‘sisi watanganyika tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu ulete matumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo pale ambapo pana chuki, heshima ambapo pamejaa dharau’,” amesema magufuli. "baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau" baada ya kutamka hayo mbele ya mwl.nyerere, ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa mwenge wa uhuru. Mnajimu maarufu ambaye sasa ni marehemu, sheikh yahya hussein aliwahi kusema na ikaandikwa kwamba mvumbuzi wa wazo la kuwa na mwenge wa uhuru ni forojo ganze ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru mjini bagamoyo mkoani pwani. forojo ganze aliyezaliwa mwaka 1902 alifuatana na wazee wengine kwenda.

michuzi blog Watanzania Wahamasishwa Kupigia Kura mlima kilimanjaro
michuzi blog Watanzania Wahamasishwa Kupigia Kura mlima kilimanjaro

Michuzi Blog Watanzania Wahamasishwa Kupigia Kura Mlima Kilimanjaro "baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau" baada ya kutamka hayo mbele ya mwl.nyerere, ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa mwenge wa uhuru. Mnajimu maarufu ambaye sasa ni marehemu, sheikh yahya hussein aliwahi kusema na ikaandikwa kwamba mvumbuzi wa wazo la kuwa na mwenge wa uhuru ni forojo ganze ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru mjini bagamoyo mkoani pwani. forojo ganze aliyezaliwa mwaka 1902 alifuatana na wazee wengine kwenda. Falsafa ya mwalimu julis kambarage nyerere kuhusu mwenge wa uhuru ilikuwa ni: “sisi watanganyika, tunataka kuuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini pale ambapo hakuna matumaini, upendo pale ambapo pana chuki, heshima ambapo pamejaa dharau”. "sisi tumekwisha uwasha mwenge wa uhuru na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike ndani na nje ya mipaka yetu, ulete matumaini pale ambapo hakuna matumaini, ulete upendo mahali penye chuki na heshima mahali palipo jaa dharau” maneno ya mwalimu nyerere wakati akitoa hotuba ya siku ya uhuru, tarehe 09 desemba, 1961 akiwatangazia watanganyika, afrika na dunia kwa ujumla.

Comments are closed.