Ultimate Solution Hub

Sophie Mbeyu Blog Zingatia Haya Pale Unapotaka Kujenga Nyumba Ya Ndoto

sophie Mbeyu Blog Zingatia Haya Pale Unapotaka Kujenga Nyumba Ya Ndoto
sophie Mbeyu Blog Zingatia Haya Pale Unapotaka Kujenga Nyumba Ya Ndoto

Sophie Mbeyu Blog Zingatia Haya Pale Unapotaka Kujenga Nyumba Ya Ndoto Zingatia haya pale unapotaka kujenga nyumba ya ndoto yako. makala hii ni maalumu kwa wale ambao wana mpango wa kujenga nyumba za kisasa kwa gharama nafuu na katika hali ya usalama na kujiamini zaidi. majengo ni moja kati ya mahitaji ya lazima ya mwanadamu ili aweze kuishi na kufanya shughuli zake za kimaendeleo katika hali ya usalama. Nikanunua na simenti kwa 320,000 (mifuko 20). kufanya wiring ndani ya nyumba (vifaa ufundi) 2,000,000. pia, nikanunua tiles kwa ajili ya kuweka chumbani kwangu (master bedroom) pamoja na kwenye public bathroom and toilet 1,009,000. nikahamia ndani ya nyumba ikiwa imekula jumla ya shilingi 64,448,100.

sophie mbeyu blog Ukiwa Na Plot Ndogo Mita 15 10 Yaani Square Mita 150
sophie mbeyu blog Ukiwa Na Plot Ndogo Mita 15 10 Yaani Square Mita 150

Sophie Mbeyu Blog Ukiwa Na Plot Ndogo Mita 15 10 Yaani Square Mita 150 Lakini hata hivyo ikiwa una mpango wa kujenga mara moja peke yake na huhitaji kurudi kujenga nyumba ya kuishi mara mbili mbili au ikiwa kuna eneo maalumu ambapo ndipo unapotaka kujenga nyumba ya kuishi na unahitaji eneo hilo hilo ndio ujenge nyumba ya ndoto yako kwa sababu zozote zile, basi hilo bado ni jambo linalowezekana kabisa. Makosa 8 ya kuepuka kabla na wakati wa kujenga nyumba. muungwana blog 2 4 11 2022 10:30:00 pm. nyumba ni hitaji muhimu kwa watu wote. kila mmoja anatamani na ana ndoto za kununua au kujenga nyumba nzuri na ya kisasa. ni kweli kuwa ujenzi wa nyumba unahitaji rasilimali nyingi hasa fedha. 2. ukubwa wa kiwanja (size of the plot) ukubwa wa kiwanja una maana sana wakati wa kununua kiwanja. unahitaji kununua kiwanja ambacho kitaendana na uhitaji na ramani ya jengo lako. hii itakusaidia kuwa na kiwanja chenye uwezo wa kubeba ramani ya jengo lako na kupata eneo la mashimo ya choo, eneo la ku paki gari na eneo la wazi kwa ajili ya. 6. ikiwa unajenga nyumba mpya au unafanya ukarabati wa nyumba ya zamani, suala la kupunguza gharama za ujenzi ni muhimu sana. watu wengi wamejikuta katika hali ngumu ya kifedha au hata kukwama katika ujenzi kutokana na kushindwa kuweka mikakati mizuri ya kupunguza gharama za ujenzi.nimeona ni vyema nikushirikishe mambo 10 muhimu unayoweza.

Comments are closed.