Ultimate Solution Hub

Tanzania Embassy In China On Twitter Ubalozi Kwa Kushirikiana Na

“ubalozi wa tanzania nchini china kushirikiana na yingke law firm kuvutia uwekezaji kutoka china. makubaliano hayo yamefanyika leo jijini beijing katika mkutano wa balozi @mbkairuki na mwenyekiti wa bodi na mkurugenzi wa yingke law firm ndugu xiangrong mei. yingke law firm ni…”. Ubalozi kwa kushirikiana na vyombo vya habari vya china vyenye programu za utangazaji kwa lugha ya kiswahili na vyuo vikuu 6 vya china vinavyofundisha kozi za kiswahili utaandaa hafla maalum ya kudhimisha siku ya kiswahili duniani tarehe 7 julai 2022 @hakingowi @millardayo.

Kampuni ya @alibabagroup kushirikiana na ubalozi @tzembassycn katika kuwezesha makampuni ya tanzania kuuza mabondo ya samaki katika soko la china mara china itakapofungua soko lake kwa bidhaa hiyo kutoka tanzania mwezi septemba 2022. makubaliano hayo yamefikiwa leo jijini beijing . 10 aug 2022. Kampuni ya avic ya china kushirikiana na serikali katika ujenzi wa vyuo vya ufundi kwa ajili ya kuwezesha vijana kupata ujuzi utakaowawezesha kufanya kazi…. Mkutano huo ulioandaliwa na ubalozi kwa kushirikiana na taasisi ya mashirikiano ya uwekezaji wa china na tanzania ulishirikisha kituo cha uwekezaji tanzania na mamlaka ya uwekezaji zanzibar (zipa). Mkutano huu umeandaliwa kwa pamoja kati ya ubalozi wa tanzania na taasisi ya maendeleo ya china na afrika ( china africa development fund) ambayo iko chini ya serikali ya china na ni sehemu ya mwitikio wa maelekezo ya rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania dk.john magufuli ya kuona tunavutia uwekezaji katika ujenzi wa viwanda vya dawa ili.

Comments are closed.