Ultimate Solution Hub

Unicef Tanzania On Twitter Furaha Ni Hawa Wanafunzi Wa Shule Ya

unicef Tanzania On Twitter Furaha Ni Hawa Wanafunzi Wa Shule Ya
unicef Tanzania On Twitter Furaha Ni Hawa Wanafunzi Wa Shule Ya

Unicef Tanzania On Twitter Furaha Ni Hawa Wanafunzi Wa Shule Ya Furaha ni hawa wanafunzi wa shule ya msingi ya mungano🤩 aanza weekendi yako kwa kutoa ahadi ya kutokomeza ndoa za utotoni🙌🏾 tembelea binti.tz au. “je wajua🤔 wanafunzi wengi wanaoacha shule kutokana na mimba, hawarejei mashuleni kwani huhofia kunyanyapaliwa na wanafunzi wenzao😔 unyanyapaa hauishii katika milango ya shule pekee, bali hufika hata katika jamii wanazoishi. jambo hili huathiri maendeleo ya mwanafunzi.”.

unicef tanzania on Twitter Kurudi Shuleni Katika Kipindi Hiki Si
unicef tanzania on Twitter Kurudi Shuleni Katika Kipindi Hiki Si

Unicef Tanzania On Twitter Kurudi Shuleni Katika Kipindi Hiki Si Rais wa tanzania samia suluhu hassan alifafanua uamuzi huo wa serikali wakati akiwa ziarani mkoani geita ambako alisema “tumeamua, watoto wote ambao wameacha shule kwa sababu mbalimbali utoro, sababu za kisheria kwamba ukipata mimba huwezi kuruhusiwa kuendelea na masomo, na wale waliodondoka darasa la saba tunajua kuna wanafunzi wetu wazuru sana, kwa bahati mbayá wakati wa mtihani, mtihani. “kurudi shuleni katika kipindi hiki si jambo rahisi. tunawasisitiza walimu kuwapa nguvu wanafunzi wao. idadi ya watoto kukosa kwenda shule yaweza ongezeka kwasababu ya uwepo wa janga hili. katika kipindi hiki, ni vema walimu wawe na muda wa kuwasikiliza na kuwasaidia wanafunzi wao”. Mwaka mmoja uliopita, kazi ya kila siku ya tausi katambarai mwenye umri wa miaka 11 ilikuwa ni kusafiri kilomita 10 kuteka maji kisimani na kusawazisha chombo cha lita 20 kichwani kurudi nyumbani kwake katika kijiji cha kaguruka, wilayani kasulu, mkoa wa kigoma nchini tanzania. "nililazimika kuchotea maji familia yangu, jambo ambalo lilifanya iwe vigumu kuhudhuria shule mara kwa mara," alisema. Zeinab hijazi, mtaalamu wa masuala ya afya ya akili na kisaikolojia kutoka unicef, anasema kufunguliwa tena kwa shule ni mchakati ambao unahitaji kusimamiwa vizuri. "bila shaka kunaweza kuwa.

Comments are closed.