Ultimate Solution Hub

Watanzania Watakiwa Kutembelea Michoro Ya Miambani Youtube

Watanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kutembelea maeneo yenye hadhi ya urithi wa dunia ikiwemo michoro ya miambani ya irangi kondoa mkoani dodoma ili ku. Watanzania wametakiwa kutumia fursa ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini kwa lengo la kuchochochea shuguli za utalii wa ndani na kuchangia m.

Sophy tours and tanzanian hotels: watanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kutembelea maeneo yenye hadhi ya urithi wa dunia ikiwemo michoro ya miambani ya. Lusius mwenda, wakati wa ziara ya utalii wa ndani wa watumishi 40 wa ofisi ya rais fedha na mipango, zanzibar katika michoro ya miambani irangi kondoa mkoani dodoma. bw. mwenda alisema lengo la ziara hiyo ni watumishi waliotoka zanzibar pamoja na mambo mengine ni kujua fursa za utalii zilizopo tanzania bara na kuwa mabalozi kwa wengine wa mali. Michoro ya miambani huko kondoa, tanzania. michoro ya miambani (ing. rock art) ni jina kwa michoro ya aina mbalimbali iliyofanywa na wanadamu kwenye uso wa miamba asilia. ni aina ya sanaa inayoweza kuwa na umri mkubwa sana. wataalamu wa akiolojia hutofautisha kati ya petroglifi (ing. petroglyph) – zinazotokana na kukata nyufa kwenye uso wa mwamba. Michoro ya miambani pahi, inasadikiwa kuchorwa kati ya miaka 100 hadi miaka 10,000 iliyopita na watu wa jamii za wawindaji, wafugaji, wakulima na wakusanyaji. michoro hii imegawanyika kwenye makundi mawili michoro mekundu na njano na ile meupe na nyeusi. michoro mekundu ndio yenye umri mrefu zaidi ikikadiriwa kuchorwa miaka takribani 5,000.

Comments are closed.