Ultimate Solution Hub

Waziri Aweso Atoa Onyo Kali Kwa Wakandarasi Mradi Wa Maji Nzughuni

Waziri wa maji mhe. jumaa aweso amewataka wakandarasi wanaosimamia mradi wa maji wa nzughuni uliopo jijini dodoma kuhakikisha wanakamilisha mradi huo kwa wak. Jumaa aweso (mb) amehawahakikishia watanzania kuwa mradi wa maji wa miji 28 utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa mwaka 2025. mhe. aweso amesema hayo akiwa jijini new delhi nchini india alipofanya mazungumzo na viongozi wa makampuni ya wakandarasi wanaotekeleza mradi huo . waziri aweso ambaye yupo nchini india katika ziara ya mhe.

Na mwamvua mwinyi,jamhurimedia, kibaha. waziri wa maji, jumaa aweso ameshuhudia tukio la kihistoria katika utiaji saini wa kuanza, utekelezaji wa miradi mitatu ya maji yenye thamani ya zaidi ya sh.bilioni 48 kati ya mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira dar es salaam (dawasa) na wakandarasi wa miradi hiyo ambayo itapunguza ukosefu wa maji kwenye baadhi ya mitaa na viwanda, mkoani pwani. Akizungumza leo januari 19, 2021 wakati wa kukabidhi mradi huo kwa dawasa, waziri wa maji nchini tanzania, jumaa aweso amesema disemba 29,2020, serikali ilisitisha mkataba na mkandarasi kharafi na disemba 30, 2020, ikasitisha mkataba na mkandarasi badir baada ya kuonekana kusuasua katika kutekeleza mradi na kugushi nyaraka muhimu za kimkataba pamoja na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Mwezi oktoba 2017, mhe. aweso aliteuliwa kuwa naibu waziri wa maji na umwagiliaji, akichukua nafasi ya mhe. kamwelwe aliyeteuliwa kuwa waziri. oktoba 2020, mhe. jumaa hamidu aweso alipita bila kupingwa kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (ccm) kuwa mbunge wa pangani kwa awamu ya pili, 2020 2025. mwezi desemba 2020, aliteuliwa kuwa waziri wa maji. Zilizochukuliwa; na mpango na bajeti ya wizara ya maji kwa mwaka 2024 25. 2. hali ya sekta ya maji nchini 16. mheshimiwa spika, naomba nichukue fursa hii kuelezea hali ya sekta ya maji nchini inayojumuisha hali ya rasilimali za maji, ubora wa maji na upatikanaji wa huduma za maji na usafi wa mazingira vijijini na mijini kama ifuatavyo: 2.1.

Comments are closed.